Mkwawa, elimu bora bado ni tatizo.

Doto1897

Member
Joined
Jun 12, 2011
Posts
14
Reaction score
0
Matatizo mbalimbali yanachokikumba chuo kikuu kishiriki, MKWAWA(MUCE),
JAMANI HAYA MATATIZO YATAISHA LINI?
Ndugu wanajamii forum, tatizo la elimu bora kwa kila mtanzania ni Tatizo, kumbe hata vyuoni elimu bora haitolewi, hii ni kukosa sehemu za mihadhara kwa ajili ya wanachuo kusomea au kujifunzia. Sasa huu uongozi wa mama( MKUU WA CHUO) Unashindwa kutoa elimu bora kwa wanachuo, yafuatayo ni matatizo yaliyojitokeza chuoni hapa;-
1. kutokuwa na uhakika wa elimu bora, hapa ni kutokuwa na sehemu za kutosha kwa ajili ya kujifunzia, wanafunzi 500, kujaa venue moja ambayo inakaliwa na watu 300.
2. Kozi zinazotolea kutofundishwa kwa muda muafaka, hii inatokan na kutokuwa na wakufunzi(lecturers) wa kutosha. hii inasababisha kualika au kukodi wakufunzi kutoka UDSM(MAIN CAMPUS).
3. Baadhi ya kozi kutolewa/kuondolewa kutokana na uhaba wa fedha, hii ni madai ya hawa wakufunzi kwa kubambikiziwa mzigo mzito kwa kuwachanganya mwaka wa kwanza na wapili pamoja na kupelekea kutolewa kwa BORA ELIMU KUTOKANA NA WENGINE KUJIFUNZA HUKU WAKIWA WAMESIMAMA.


JAMANI WADAU WA ELIMU TUSAIDIANE KWA HILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…