Mkwawa hakujipiga risasi kama wajerumani walivyotusimulia, bali aliliwa na simba..

Rubbish= mtakataka
 
Kwa kweli CHADEMA ina "VICHWA" eti huyu naye ni "think tank" wa CHADEMA!
Kwahiyo Abdulwahid Sykes baada ya kumpindua baba yake kwa kumpiga ngumi puani ili nafasi yake ya Uenyekiti achukue Dr.Vedasto Kyaruzi (Mhaya),yeye hakutaka Uenyekiti?!
Ndio kwa mara ya kwanza nasikia duniani Kiongozi wa Kupinduliwa kwa ngumi ya pua!.
Wewe Yericko (taja jina la babako achana na Nyerere huna hadhi yake)! Hivi nani husoma hivyo vitabu vyako vya ujasusi,hata bure sisomi vitabu vyako !
 
Tafuta story za akina Plato. Ndio utajua wazungu walianza lini?.
Wala usiulize Ibrahim nk.

Ubaguzi wa rangi utawamaliza Waafrika.
Hakika utumwa ilikua janga baya sana la asili kama mafuriko na Tsunami.
 

Jichunguze ndugu, hivi nani atatoa 50,000 kujifunza huu ugonjwa?
 
Sijawahi kukuona hata siku moja we jamaa kama ni mchambuzi wa kweli zaidi ya kukuonana mchumia tumbo tu. Umejidai kuchambua kiumakini sana historia ya Tanganyika kumbe ulikua unataka kutuuzia kijitabu chako tu. Brother unafeli wapiiiiiii
 
Hili tangazo limelipiwa? Ila Yericko kwa matango pori kiboko
 
kwa hiyo abduwakil sykes alimpindua baba yake kwa kumpiga ngumi puani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hhh mbavu zangu ah ah ah..
Fast forward maika kadhaa, kitukuu cha abduwakil akajiita ngumi jiwe akawa mlinzi wa kitukuu wa sykes,dully hhh..
Mshua kula ngumi puani akaachia madaraka hhh .. life is funny
 
Hahahaha Yericko ananifurahishaga sana akiwa shambani kwake kitumbo wazi!
Akili zake zinamtosha mwenyewe
Anajaribu ku distort jambo linalojulikana duniani kote,ili tu au kijarida chake
 
Fundishen vijana kutafta pesa. Wapen vijana elimu ya pesa iwasaidie kutatua changamoto zao za kila siku.
Hizo historia zenu zinawasaidia nn masikini ambao hata pesa ya kula ni changamoto??
Ubongo wako umejaa MATOPE,
 
Umeshindwa ku-substanciate title ya thread. Hii si sawa kwa reputation yako hapa

nakubalina na wewe.... thread imebeba theme zaid ya 3 ambazo muunganiko wake sio liquid .. lakini pia story ya mbwa ni very thin kwenye content ya huu uzi
 
Wazungu Washenzi Sana wanapotosha sana historia ya mtu mweusi......Baada ya kusikia binadamu wa kwanza alitokea Africa wakazusha eti alikuwa nyani.
King Kong III leo umelikoroga. Ni wapi kwenye research wamesema mtu wa kwanza alikuwa nyani. Kwenye documentary zote ukiangalia wanakuelezea kuwa chimbuko la binadamu ni Africa na wanaelezea evolution ilivyofanyika. Tuwe tunaongea kwa data bila kuwa biased.

Fuvu la Mkwawa lenyewe waliolichukua waligundua tundu linaloonyesha ni la gobole. Kama mtoa mada ana prove nyingine atoe na picha ili tusadiki. Angeliwa na simba wasingekuta na hilo fuvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…