Mkwawa hakujipiga risasi kama wajerumani walivyotusimulia, bali aliliwa na simba..

Anayetaka kusoma habari za Mkwawa angalia hapa

Kuna pia tovuti nzuri
ilitungwa na mjukuu wa Mkwawa.
 
Mkwawa hakuliwa na simba bali alijitupa kwenye tanuru la moto mkali ambao alikuwa ameagiza uwashwe ili kukwepa Wajerumani ambao walikuwa wamewazidi nguvu
 
Mkwawa hakuliwa na simba bali alijitupa kwenye tanuru la moto mkali ambao alikuwa ameagiza uwashwe ili kukwepa Wajerumani ambao walikuwa wamewazidi nguvu
Hata hii si kweli. Angalia tovuti niliyoleta huko juu. Pale unapata taarifa halisi.
Habari za kifo cha Mkwawa zimechunguliwa sana; maana Wajerumani wakati ule walimhofia, pia kuona ajabu ya uhodari wake. Ushindi wake pale Lugalo na pia kifo chake zilikuwa habari kubwa ziliziripotiwa katika magazeti kimataifa.

Taarifa kamili ya kifo chake iliandikwa na sajenti Mjerumani aliyekuta maiti ya Mkwawa tarehe 19 Julai 1898 mnamo saa nane mchana. Huyu sajenti aliitwa Josef Merkl, alipokea zawadi iliyowahi kuahidiwa na serikali ya koloni. Alitumia pesa (zaidi ya rupia 3000) akastaafu jeshini akanunua shamba pale Kilimanjaro. Alirudi Ujerumani kabla ya Vita Kuu, baadaye alikuwa mwanasiasa na mbunge katika jimbo lake la Bavaria, Ujerumani. Alikufa mnmao mwaka 1962.

Haya yote si siri hata kidogo. Hakuna sababu kutunga stori eti Mkwawa aliliwa na simba au alichomwa au nini.
 
Kumbe ngumi za Pua zinaweza leta mapinduzi,, Bongo banaa h ha hahahaaa ha Ngoja nijikoki Kumpindua baba hom ni Heavy Ngumi za Pua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…