Mkwawa High school members

Mkwawa High school members

gerit

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
307
Reaction score
181
Wakuu majukumu yanaendaje.

Nimeona si vibaya tukakumbukana na kushea lile school life la pale Mkwawa kipindi ni high school na ikipendeza hata saizi pakoje kwa walio na wanaoendelea na chuo hicho.

Binafsi nilienjoy sana hasa watu kutoka kila pembe ya nchi na kutoka kila aina ya familia kukutana na kupiga book pale.

Maisha yalikuwa swadakta kila mahali watu Kibao. Ukienda bwenini wapo, darasani wapi 24/7, mjini tena wapo!!!!!

Sasa maamayangu mwalimu masebo Lumumba west duu ukichelewa kutoka hatari.

Hayo machache karibuni!
 
Nakumbuka sana Magembe West na Second Master Nzowa! Headmaster wetu aligombea uwenyekiti wa CCM Mkoa akashinda, tafadhali nikumbusheni jina lake.
 
Sir Ngui yuko wapi sasa hivi!? Ticha wangu wa fizix Haa ha ha ha.

Mwongozo, wewe ulikua mgumu au mlikwidi!? Joke
 
Nakumbuka sana Magembe West na Second Master Nzowa! Headmaster wetu aligombea uwenyekiti wa CCM Mkoa akashinda, tafadhali nikumbusheni jina lake.
Mgumu Og kbsa
 
Back
Top Bottom