Wakuu majukumu yanaendaje.
Nimeona si vibaya tukakumbukana na kushea lile school life la pale Mkwawa kipindi ni high school na ikipendeza hata saizi pakoje kwa walio na wanaoendelea na chuo hicho.
Binafsi nilienjoy sana hasa watu kutoka kila pembe ya nchi na kutoka kila aina ya familia kukutana na kupiga book pale.
Maisha yalikuwa swadakta kila mahali watu Kibao. Ukienda bwenini wapo, darasani wapi 24/7, mjini tena wapo!!!!!
Sasa maamayangu mwalimu masebo Lumumba west duu ukichelewa kutoka hatari.
Hayo machache karibuni!