Mkwawa univer.chakula bei ndogo lkn mziki katika msuli ni balaa! Kama j.k.t

magoye

Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
37
Reaction score
0
madogo ambao wanatalajia kuja kuchagua mkwawa ili kuchukua degree ya education wajipange kwa msuli! but msosi kula mpaka unachia
 
bwana mdogo mwaka wa kwanza tu! unaanza mbwembwe mi nimeshamalisha hapo mkwawa 2012 kwa sasa nipo milambo high school so acha zalau!
 
bwana mdogo mwaka wa kwanza tu! unaanza mbwembwe mi nimeshamalisha hapo mkwawa 2012 kwa sasa nipo milambo high school so acha zalau!

mwalimu jifunze kuandika kwa ufasaha basi.. This is disgusting
 
hivi kama ungepewa msosi kidogo af msuli balaa,je ungehama chuo? Umulugo type unakusumbua
 
bwana mdogo mwaka wa kwanza tu! unaanza mbwembwe mi nimeshamalisha hapo mkwawa 2012 kwa sasa nipo milambo high school so acha zalau!

Khaaaa wewe ni mwalimu wa somo gani?

Ni mhitimu wa Elimu ya juu eti eeeh?!

Utasikia nimesoma Udsm kitengo cha Mkwawa haaaaaa.
Ni mtazamo tu.
 
Sijaelewa bado, acha nimchukue dogo wa UDSE anifafanulie vizuri
 
bwana mdogo mwaka wa kwanza tu! unaanza mbwembwe mi nimeshamalisha hapo mkwawa 2012 kwa sasa nipo milambo high school so acha zalau!

walimu wetu hao..zalau???? mitanzania ni mishamba sana aisee
 
Karne ya 21 msomi wa chuo kikuu anaongelea mziki na chakula.
 
bwana mdogo mwaka wa kwanza tu! unaanza mbwembwe mi nimeshamalisha hapo mkwawa 2012 kwa sasa nipo milambo high school so acha zalau!

mungu wangu huyu nae mwalimu, sasa wanafunzi sijui itakuaje hata kuandika tabu.
 
madogo ambao wanatalajia kuja kuchagua mkwawa ili kuchukua degree ya education wajipange kwa msuli! But msosi kula mpaka unachia

mbona kama sioni uhusiano wa hizo topic mbili! Yaani; bei ya chakula na ugumu wa kusoma.
 
Unadhalilisha taaluma ya Ualimu aiseee,we ulifikiri chuo kikuu ni sehemu ya kulala
 
Mulogonizm theory of thinking.dvn 5 huwezi kwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…