S snag Member Joined Feb 11, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Feb 28, 2014 #1 Hiv ni kweli chuo cha mkwawa wanaanza course ya stashahada ya ualimu? Mwenye uhakika na hili tafadhari na kama ni kweli vp kuhusu ajira za lecturers na TA's zitatangazwa lini hapo mkwawa
Hiv ni kweli chuo cha mkwawa wanaanza course ya stashahada ya ualimu? Mwenye uhakika na hili tafadhari na kama ni kweli vp kuhusu ajira za lecturers na TA's zitatangazwa lini hapo mkwawa
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Feb 28, 2014 #2 Naona unakamata fursa.
S shibhone New Member Joined Aug 7, 2013 Posts 2 Reaction score 2 Feb 28, 2014 #3 Prof. Amandina L. is no longer in ofice, principal wa sasa ni Prof. Bernadeta Killian.
S snag Member Joined Feb 11, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Feb 28, 2014 Thread starter #4 lakini kama kweli wanaanzisha hii cozi , lazima wataongeza wafanyakaz hebu tusubiri tuone
Price JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 1,502 Reaction score 920 Feb 28, 2014 #5 snag said: lakini kama kweli wanaanzisha hii cozi , lazima wataongeza wafanyakaz hebu tusubiri tuone Click to expand... Duh! huyu anawaza kusoma, ww unawaza kupata kazi...! jamani
snag said: lakini kama kweli wanaanzisha hii cozi , lazima wataongeza wafanyakaz hebu tusubiri tuone Click to expand... Duh! huyu anawaza kusoma, ww unawaza kupata kazi...! jamani
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Feb 28, 2014 #6 Price said: Duh! huyu anawaza kusoma, ww unawaza kupata kazi...! jamani Click to expand... Fursa mkuu, hata mie napenda waongeze kozi ili waongeze wafanyakazi nipate kazi.
Price said: Duh! huyu anawaza kusoma, ww unawaza kupata kazi...! jamani Click to expand... Fursa mkuu, hata mie napenda waongeze kozi ili waongeze wafanyakazi nipate kazi.