History ni noma yan unapotea njia unajiona
Unataka kusoma histry na nn?
kwaiyo bro nicchukue hstry
Habari zenu ndugu wadau wa JF?
Kwa wale mliochaguliwa MUCE nawapongeza sana.
Ila kuna kozi matata sana inaitwa HISTORY yaan ukijichanganya kuisoma kozi hii ujue hakuna muda wa kulala.
Kiukweli semister zote mbili kozi hii imetuzingua wengi sana.
Kikubwa tuombeane ili tufanikiwe.
I wish u all the best..!
Oil sumu kumbe umesoma masomo hayoo! Hahaha fujo za nini sasa.
komaeni masela najua msuli wa UDSM,ndo maana hawachukui vilaza,kaza msuli mwanzo mwisho
mkuu nackia UD mwaka huu wamesup xana ni kweli au maneno...??