Wanajamvi kwa muda nimekuwa nikiumizwa na hili jambo. Mama mkwe wangu ni kama mke mwenzangu. Mume wangu anapanga budget na mama, kila kitu ni mama. juz kachukua mkopo bank nusu kampa mama afanye miradi. Nimejaribu kushare na familia mama kaja juu yeye ndio kamsomesha anastahil kuenziwa. Mume hashauriki bila kumshirikisha mamake. Hapa ana miez 6 tunakaa nae. Ni vurugu. Ushauri wandugu.
AD, mnaweza kupanga mambo chumbani jioni ni kitako na mamake wanajadili upya. Point taken.Pole sana mamake..Kweli itakuwa ngumu kumtenganishaMtu na mama yake sasa.. lakini binafsi Naona kosa liko kwa mumeo. Kwa kutoongeaNawe au kufanya vitu bila kukujulisha wewe Mkeo..Mkwe ye hupata kichwaSababu kijana yuko upande wake.Kusema hivyo kuna sababu ambazo Zinawafanya mama kung'ang'ania watotoWao wa kiume Lakini hii ya kuingulia nyumba **** kiasiHiki imezidi..Ushauri wangu washirikishe wazazi/walezi wako Kwenye hili wenyewe wanajua zaidi cha Kusema na kufanya. Pole sana..
Wanajamvi kwa muda nimekuwa nikiumizwa na hili jambo. Mama mkwe wangu ni kama mke mwenzangu. Mume wangu anapanga budget na mama, kila kitu ni mama. juz kachukua mkopo bank nusu kampa mama afanye miradi. Nimejaribu kushare na familia mama kaja juu yeye ndio kamsomesha anastahil kuenziwa. Mume hashauriki bila kumshirikisha mamake. Hapa ana miez 6 tunakaa nae. Ni vurugu. Ushauri wandugu.
Dahh Huo ni ounevu wa hali ya juuWacha ku jadili upya mama mkwe anatakiwaAsijue mlichoongelea wewe na mmeo..Kama umeongea naye vya kutosha Na hasikii ni muda w kumsimamia kidete.Maana ukizidi kuwaonyesha upole na Watazidi kukuonea..AD, mnaweza kupanga mambo chumbani jioni ni kitako na mamake wanajadili upya. Point taken.
Pole dada yangu,Umeolewa na Mume ambaye ni "Mtoto wa Mama"!!
Kisaikolojia Ipo mi Mama ambayo huwa haiiachii watoto wao hasa wanapokuwa na Vijisenti!!
Hapo haiwezekani kutatua tatizo hilo bila kuishia katika Uhasama,Unahitaji kufanya Uamuzi Mgumu tu dada,No easy way out!! Nina rafiki yangu Mmoja ambaye naye Mama yake Mzazi alikuwa Mtata kama huyo Mkweo!! Palikuwa Hapatoshi!!!
U have to be strong,Muonyeshe Mumeo ilo andiko halilotaja mdau hapo Juu kwamba Mwanaume atawaacha wazazi wake na ataambatana na Mkewe,siyo ataambatana Na Mama yake!! Mpe wiki mbili ajue kwamba Mambo ya Maisha yenu ni katika yako ww na yeye tu not otherwise na huyo Mama yake amrudishe,akikataa Sepa mpaka siku akiona yupo tayari kuwa "Mtu Mzima" na kuacha kuwa "mtoto wa Mama"!!
Kumbuka hapo vita haikwepeki,Usiogope,Pambana!!!
Pole kwa kupata Mume Dhaifu!!!
pole sana dada..
nakubaliana na RR, simama kidete ujnge himaya yako