Mkwe chakula kimekushinda mtoto wetu unamuweza kweli?

Mkwe chakula kimekushinda mtoto wetu unamuweza kweli?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1564830082422.jpeg

Jamaa alikuwa kwenye safari ya kikazi mkoa ambao ndio ukweni kwake. Alikwenda kuwasalimu wakwe akiwa kwenye msafara na wenzake. Kama ilivyo ada ya Kiafrika wakwe walimsihi aende akawasalimie rasmi si kwa kupita.

Siku aliyofika alikaribishwa chakula, pombe, matunda ya msimu. Alijitahidi kumaliza ki portion cha ugali. Mjomba alimuuliza mkwe chakula kimekushinda mtoto wetu unamuweza kweli!
 
View attachment 1171161

Wanaume wa Dar wanapita kama hawauoni uzi
 
Wanaojiita wa Mkoani huwa nawashangaa sana eti wanaamini kula sana ndo uanaume. Huku mjini fedha tu tunagonga mkeo hadi mama zako wadogo na ndungu zako wote wakike na wanashoboko nyoko
 
Kumbe hata wakwe hua wana mind mtoto wao "usipomshughulikia" vizuri! Nimejifunza jambo kubwa kwako leo Sky😃😃😃
 
Hiyo sembe hamna kitu ugar mweupe namna hiyo ni kujaza tumbo tu alikuwa sahhi kuacha

Kuna uzi juu ya sembe vs dona humu. Binafsi huwa siamini sana kwenye hiyo habari ya ubora wa dona. Nimekulia na kuzeekea ugali mweupe na afya yangu si mbaya. Wanyamwezi na Wafipa wangeshatoweka duniani kama ugali mweupe hauna faida yeyote.
 
Back
Top Bottom