umejuaje?Watu wa hivyo wanapiga kazi kwa bed balaa
Dah...halafu unakuwa umeingiza nini mwilini? Tujifunze[emoji2960]Huyo wa Dar,mie hizo portion tatu za ugali namaliza
Wanaume wa Dar wanapita kama hawauoni uziView attachment 1171161
Jamaa alikuwa kwenye safari ya kikazi mkoa ambao ndio ukweni kwake. Alikwenda kuwasalimu wakwe akiwa kwenye msafara na wenzake. Kama ilivyo ada ya Kiafrika wakwe walimsihi aende akawasalimie rasmi si kwa kupita.
Siku aliyofika alikaribishwa chakula, pombe, matunda ya msimu. Alijitahidi kumaliza ki portion cha ugali. Mjomba alimuuliza mkwe chakula kimekushinda mtoto wetu unamuweza kweli!
Hiyo sembe hamna kitu ugar mweupe namna hiyo ni kujaza tumbo tu alikuwa sahhi kuacha