yawezekana ni hadithi ila ni hali halisi imemtokea mzee mmoja akaae london
majuzi alikuwa na harusi kubwa ya binti yake..walipofika kwenyeharusi wakakuta aliepembeni ni aliekuwa gfriend wake..akuamini alibaki na mshangao na wakabaki na furaha tupu baada ya kujua mwanae anaenda kuwa sehemu ya amani

welcome back pdidy,,, :twitch::twitch::twitch::twitch:

Kumbe Kiswahili pia kigumu kueleweka nimeambulia patupu
Samson Mfalila nayemfahamu mimi ni mhariri wa gazeti la mwanaspoti, kabla ya hapo alikuwa mhariri wa michezo wa the Guardian ltd. Namfahamu sana na hawezi kuandika upupu kwa lugha ya kipupu kama hii. Naona huyu dada/kaka ameamua kumchafulia jina lake tu hapa!Yeah sure.... mleta mada hujweka vitu fulani vizuri!!! BTW, Hivi wewe ni samsonmfaliala kweli au unatumia hilo jina tu with intent?? if that is your real name, then change it unajiexpose sana bila sababu halafu post zako nyingine hazijakaa vizuri sana kwako
kiswahili kigumu hujaeleweka kabisa labda andika kwa kichinayawezekana ni hadithi ila ni hali halisi imemtokea mzee mmoja akaae london
majuzi alikuwa na harusi kubwa ya binti yake..walipofika kwenyeharusi wakakuta aliepembeni ni aliekuwa gfriend wake..akuamini alibaki na mshangao na wakabaki na furaha tupu baada ya kujua mwanae anaenda kuwa sehemu ya amani
Hivi kaandika kiswahili...??.:A S confused:
UKimkosa HUMU?????????????????????????????????????????????yaanii wewe nikikukosa humu nitapata wazimu.....