Mkwepu Jr The Creep

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Kuna huyu mwanachama mwenzetu anaitwa Mkwepu Jr huwa sijawahi kumuelewa, yeye yupo kila sehemu na anagonga LIKE TU bila kuchangia mada yoyote ile. Halafu huwa anagonga LIKE muda ambao wengine wameacha kuchangia, kinachoniuma moyo sana ni kwamba huyu mwenzetu hata uzi uwe na kurasa 1000 atagonga LIKE kwenye kila changizo.

Wewe jamaa mkwepu jr you are very very creepy , hilo lipicha lako la kugidevu guligojaa mindevu pamoja na hizi tabia zako unafanya sisi tufikirie kwamba you are kinda twisted. Wewe mwana hebu acha hizi michongo: Juzi nimeona umegonga LIKE kurasa zaidi ya 2000 halafu muda ambao wenzako wameacha kuchangia halafu hukuchangia kitu.

Dude, you're so creepy.....
 
Yeye anabonyeza kitufe cha like tu ila wewe unaangalia details za comments zaidi ya buku mbili huku unajiona mzima [emoji38]
Hahahaha, mkuu kuna siku niliamka nakuta zimegongwa LIKE kibao, kesho yake tena hivyohivyo, kesho kutwa yake hivyohivyo. Sasa ikabidi niangalie vizuri huyu jamaa ni nani, nakuta katambaza LIKE kurasa nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…