Mkwese sekondari......(msiba wa mzee mghuyaa)

Mkwese sekondari......(msiba wa mzee mghuyaa)

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2008
Posts
6,658
Reaction score
6,700
Kwa wale waliosoma MKWESE SEKONDARI.....nimepata taarifa za msiba wa MZEE MGHUYAA uliotokea siku ya KRISMAS
Mzee wetu alikuwa ni mtumishi wa shule hii kwa kipindi kirefu....wengi tuliopita pale tunamkumbuka kwa moyo wake wa ukarimu na ucheshi.....! mwingi wa utani na kufanya boarding life iwe easy......!
REMEMBER YOU MZEE MGHUYAA.....!
 
Back
Top Bottom