Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa ikitokea hujampata huyo shahidi ili umpe hiyo barua itakuaje??Mlalamikaji anatakiwa aimbie mahakama , kisha mahakama itampa summons/ barua ya wito mahakamani, ambapo kushindwa kutii wito huo itakuws ni ukiukwaji w sheria na mahakama ya weza kutoa barua yakumkamata shahidi ahudhurie mahakamani. Ndy ndugu