Kwanza ni vizuri ieleweke kuwa kukimbia au kukataa kutoa ushahidi ni kosa kisheria. Shahidi atatakiwa atafutwe popote alipo ndani ya Jamhuri ya Muungano. Nakama yupo nchi za nje na kwasababu moja au nyingine hawezi kufika basi atatakiwa kutoa ushaidi kwa njia ya kiapo( Affidavit)
All in all, mahakama yaweza kuangali uzito wa ushahidi ambao shahidi ameshindwa kuutoa, km mahakama utaona ushahidi ni mzito katika kutenda haki basi kwa namna nyingine lazima mtu huyu atafutwe. Contrary, mahakama yaweza kuendelea na shauri na hatimaye kufikiabmaamuzi