Haya umeshiba liugali kwa maharage, ugali wenyewe umekula saa tatu usiku ulipotoka kwenye foleni ya bongo then una chandarua cha malaria haikubaliki, hapo hapo kuna jalala jirani na chumba chako, na wauza gongo mtaa unaofuata ndo ulale hivyo, tutaona itakuwaje.