Kwa mara ya kwanza nmeona timu ya Kizanzibari ikicheza soka la kikubwa kama vile Al Ahly au Raja Cassablanca. Vijana wana morali na wanajituma kweli kweli sio wanyonge hata kidogo
Simba walijiamini sana walifikiri kwakua Mlandege haipo Klabu bingwa Afrika wakajua ni wepesi kumbe vijana wapo serious na kombe lao
Hongera sana Mlandege, hongera sana Zanzibar
Iwe fundisho