Huko sioni kama ni kumtukuza, kwa upande wangu naiona hiyo kama kebehi ya Trump, hasa nikitazama maana nzima ya ujumbe alioutoa kwa Iran.
Ujumbe uliojaa vitisho kama huo, unaoonesha hasira ya Trump kwa Iran, kisha kulitaja jina la "Allah" kwangu naona haviendani kabisa.
Kwangu nimefundishwa Mungu sio wa vitisho, Mungu ni wa huruma, na Mungu sio wa visasi, labda kwa huyo 'Allah" alietajwa na Trump ndie wa visasi.