badshah
Member
- Mar 16, 2013
- 51
- 32
"Mlango mmoja unapojifunga basi mingine hufunguka, lakini siku zote tunaangalia na kujutia ule mlango uliojifunga, hali ambayo tunaacha kuangalia ile iliyofunguka kwaajili yetu
- Alexander Graham Bell
"Mlango mmoja wa furaha unapofunga, mingine hufunguka; lakini siku zote tunaangalia na kujutia ule mlango uliojifunga, hali ambayo tunaacha kuangalia ile iliyofunguka kwaajili yetu
- Helen Keller
Dondoo hizo hapo zote ni kweli! Zisome tena, utaona zote zinasema juu ya neno moja tu "Mlango mmoja unapojifunga basi mingine hufunguka
Watu wengi huegemea sana juu ya wakati uliopita na juu ya yale wanayoyajua na matokeo yake kukosa nafasi ambayo imesimama mbele yao.
Milango huweza kufunga, lakini siku zote kuna milango mingine mingi sana nafasi mpya. Ulimwengu umejaa nafasi nyingi, kama tu tungeweza kuziona. Nguvu zisizo na idadi huwa siku zote hazina kikwazo, na hivyo uwezekano kuwa mkubwa bila ya kuwa na idadi.
Sio kila mpango unafanikiwa. Wakati mwingine, kuna kukosa na kupata. Wakati mwingine, kuna matatizo katika uhusiano. Wakati mwingine, watu hupoteza kazi zao au kukutana na vitu visivyoleta faraja kwao.
Hatuna budi juu ya kuyakabili haya matokeo, lakini tunaweza kujizoesha kuwa na uwezo wa kuyamiliki haya katika akili zetu na mwenendo wetu. Yanapotokea haya yote, na tunapoegemeza akili zetu juu ya kukosa mlango uliofunga, basi tunaona tu huu mlango uliofunga pamoja na mawazo mengi na kukosa furaha.
Lakini kama tutahamisha sasa mawazo yetu kuyatoa katika upande huu wa mlango uliofunga, tunaweza kushangaa kuona milango mingi iliyo wazi. Ni vema kuwa na fikra zinazoenea mbali kuliko kungangania na jambo moja linalokuumiza kichwa.
Inaonekana kuwa si rahisi kueneza mtazamo wetu sehemu zingine,kutokana na kuegemea katika hali ya zamani na yale unayoyajua na kuogopa mambo mapya na mageni kwako.
Kama ukiona ni jambo gumu kuzuia mtiririko wa mawazo haya, akili yako itaendelea kutazama juu ya kukosa, kufeli na kukata tamaa ambao ndio upande wa ule mlango ulifunga. Je fikra hizi zitakusaidia, au kukuumiza, na kuzuia mabadiliko au maendeleo yoyote?
Unaweza kukubali juu lililosemwa hapa, lakini ni jinsi gani unaweza kujitoa katika fikra za zamani na kuona nafasi mpya? Vipi unaweza kujipeleka kuona, na kuingia katika mlango mpya ambao uko wazi kwaajili yako?
Kuingia, unahitahi baadhi ya juhudi:
Staryte - Elimu, Burudani na Maendeleo

- Unahitaji uwe unafahamu zaidi juu ya fikra zako
- Kujitoa kabisa katika fikra ambazo zinakufanya uendelee kuganda sehemu moja
- Endeleza baadhi ya hatua za kujiheshimu
- Endeleza baadhi ya uwezo wako na kuendesha fikra zako
- Faidika na nguvu za kujitahidi kwako
- Baadhi ya amani ya ndani inahitajika, kutokana na kwamba amani hii itakusaidia kuondoa fikra mbaya, na kuwa na akili iliyotanuka, nzuri na furaha. Utakapokuwa na amani hii ndani ya moyo, itakuwa rahisi sana kwako kujiondoa kutokana na hali ya zamani na hivyo kufungua akili mpya na matokeo yake kuona wazi kabisa milango mipya iliyo wazi kwaajili yako.
Staryte - Elimu, Burudani na Maendeleo