Mlango mpya wa kuzunguka wa kisasa unauzwa bei sawa na bure.

Rich Forever

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
467
Reaction score
469
Huu ni mlango original kabisa upo ndani ya box lake una mota ya kuzunguka unapotaka kufunga na kufungua kwa kutumia umeme ni mlango wa kisasa kabisa

Pia unapatiwa na fundi wa kukufungia kama ukihitaji
Napatikana kinondoni biafra Dar es salaam

Bei ni million mbili na nusu maongezi yapo

Mawasiliano

0719590756

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…