Mlango wa abiria kwenye ill fated ndege ya Precision uko sehemu gani? Mbele au nyuma?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force?. Akiufungua tu maji yana rush insid, kumbuka kuna obstacles za viti vilivyong'oka na msongamano wa abiria , commotion kila mmoja ana strugle kutoka majaliwa alifanyaje katika imaginary but most likely to happen situation kama hiyo?
Just for Curiosity

Kama mlango uko nyuma, then one can break it open! and give the opportunity for other processes to proceed
 
Endelea kuchambua
20221111_215546.jpg
 
Kama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force???. Akiufungua tu maji yana rush inside ......kumbuka kuna obsatacles za viti vilivyongoka na msongamano wa abiria , commotion kila mmoja ana strugle kutoka....... majaliwa alifanyaje katika imaginary but most likely to happen situation kama hiyo?
Just for Curiosity

Kama mlango uko nyuma, then one can break it open! and give the opportunity for other processes to proceed
Ile ndege ina milango minne, miwili kila upande mbele na nyuma. Mizigo wanapakilia mbele, abiria wanaigilia milango ya nyuma. Naongelea uzoefu wa kusafiri na hizo ATR za Precision
 
Wewe umetoa maelezo ya kueleweka. Kuna milango 4, mbele 2, nyuma 2. Ya mbele ilikuwa submerged, ya nyuma iko free! Then one can attempt to open the back doors!
 
Kama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force???. Akiufungua tu maji yana rush inside ......kumbuka kuna obsatacles za viti vilivyongoka na msongamano wa abiria , commotion kila mmoja ana strugle kutoka....... majaliwa alifanyaje katika imaginary but most likely to happen situation kama hiyo?
Just for Curiosity

Kama mlango uko nyuma, then one can break it open! and give the opportunity for other processes to proceed
Basi uliwaokoa wewe
 
Tafuta interviews za walionusurika pamoja na ya Majaliwa japo yeye alituambia yeye na wenzie watatu waliugonga mlango kwa kutumia kasia zao hadi ukafunguka lakini walionusurika wanasema mmoja wa wahudumu wa ndege alifungua mlango kwa ndani ndipo wakaja wavuvi (Majaliwa na wenzie Watatu) kuwavuta mmoja mmoja.
 
JAmaa hajaridhika kabisa Maja kupata ile bahati. Huu uchambuzi wake sijui wa ngapi. Tufanye ndiye yeye aliwaokoa nakubaliana nawe, case closed
Yaani anaweka maanalisisi huku akijua wapo waliookolewa na wapo hai..!!
 
Tafuta interviews za walionusurika pamoja na ya Majaliwa japo yeye alituambia yeye na wenzie watatu waliugonga mlango kwa kutumia kasia zao hadi ukafunguka lakini walionusurika wanasema mmoja wa wahudumu wa ndege alifungua mlango kwa ndani ndipo wakaja wavuvi (Majaliwa na wenzie Watatu) kuwavuta mmoja mmoja.
Na huu ndio ukweli.mlango ulifunguliwa na mtu aliyekuwa ndani ya ndege.
 
Thanks, halafu majitu yasiyoweza kuhoji, praise and worship men yanatukuza tu bila kuhoji! Eti majaliwa hawezi kudanganya? kwanini asidanganye na anajua kuwa akisema niliwatoa mimi atasifiwa?
 
Sawa, ila umewakoa wewe
Mimi huwa napunguza watu wa kusoma post zao kwa kuwa block watu kama nyinyi maana hakuna siku utaweka post ya maana humu, therefore I block you at the ealiest possible moment!
 
Ni chaguo lako na una uhuru wote wa kufanya hivyo. Just go ahead
 
Thanks, halafu majitu yasiyoweza kuhoji, praise and worship men yanatukuza tu bila kuhoji! Eti majaliwa hawezi kudanganya? kwanini asidanganye na anajua kuwa akisema niliwatoa mimi atasifiwa?

Tungepata picha za sehemu ya huo mlango uliovunjwa kwa kasia, maana lazima sehemu iliyobondwa ingeonekana, isingeweza kubaki smooth!
 
Thanks, halafu majitu yasiyoweza kuhoji, praise and worship men yanatukuza tu bila kuhoji! Eti majaliwa hawezi kudanganya? kwanini asidanganye na anajua kuwa akisema niliwatoa mimi atasifiwa?
Wewe ulitakaje?
 
Back
Top Bottom