Ile ndege ina milango minne, miwili kila upande mbele na nyuma. Mizigo wanapakilia mbele, abiria wanaigilia milango ya nyuma. Naongelea uzoefu wa kusafiri na hizo ATR za PrecisionKama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force???. Akiufungua tu maji yana rush inside ......kumbuka kuna obsatacles za viti vilivyongoka na msongamano wa abiria , commotion kila mmoja ana strugle kutoka....... majaliwa alifanyaje katika imaginary but most likely to happen situation kama hiyo?
Just for Curiosity
Kama mlango uko nyuma, then one can break it open! and give the opportunity for other processes to proceed
Wewe umetoa maelezo ya kueleweka. Kuna milango 4, mbele 2, nyuma 2. Ya mbele ilikuwa submerged, ya nyuma iko free! Then one can attempt to open the back doors!Ile ndege ina milango minne, miwili kila upande mbele na nyuma. Mizigo wanapakilia mbele, abiria wanaigilia milango ya nyuma. Naongelea uzoefu wa kusafiri na hizo ATR za Precision
Basi uliwaokoa weweKama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force???. Akiufungua tu maji yana rush inside ......kumbuka kuna obsatacles za viti vilivyongoka na msongamano wa abiria , commotion kila mmoja ana strugle kutoka....... majaliwa alifanyaje katika imaginary but most likely to happen situation kama hiyo?
Just for Curiosity
Kama mlango uko nyuma, then one can break it open! and give the opportunity for other processes to proceed
JAmaa hajaridhika kabisa Maja kupata ile bahati. Huu uchambuzi wake sijui wa ngapi. Tufanye ndiye yeye aliwaokoa nakubaliana nawe, case closedBasi uliwaokoa wewe
Yaani anaweka maanalisisi huku akijua wapo waliookolewa na wapo hai..!!JAmaa hajaridhika kabisa Maja kupata ile bahati. Huu uchambuzi wake sijui wa ngapi. Tufanye ndiye yeye aliwaokoa nakubaliana nawe, case closed
Praise and worship man utawajua tu! Mheshimiwa Mungu ndio nyinyiBasi uliwaokoa wewe
Na huu ndio ukweli.mlango ulifunguliwa na mtu aliyekuwa ndani ya ndege.Tafuta interviews za walionusurika pamoja na ya Majaliwa japo yeye alituambia yeye na wenzie watatu waliugonga mlango kwa kutumia kasia zao hadi ukafunguka lakini walionusurika wanasema mmoja wa wahudumu wa ndege alifungua mlango kwa ndani ndipo wakaja wavuvi (Majaliwa na wenzie Watatu) kuwavuta mmoja mmoja.
Sawa, ila umewakoa wewePraise and worship man utawajua tu! Mheshimiwa Mungu ndio nyinyi
Thanks, halafu majitu yasiyoweza kuhoji, praise and worship men yanatukuza tu bila kuhoji! Eti majaliwa hawezi kudanganya? kwanini asidanganye na anajua kuwa akisema niliwatoa mimi atasifiwa?Na huu ndio ukweli.mlango ulifunguliwa na mtu aliyekuwa ndani ya ndege.
Mimi huwa napunguza watu wa kusoma post zao kwa kuwa block watu kama nyinyi maana hakuna siku utaweka post ya maana humu, therefore I block you at the ealiest possible moment!Sawa, ila umewakoa wewe
Ni chaguo lako na una uhuru wote wa kufanya hivyo. Just go aheadMimi huwa napunguza watu wa kusoma post zao kwa kuwa block watu kama nyinyi maana hakuna siku utaweka post ya maana humu, therefore I block you at the ealiest possible moment!
Thanks, halafu majitu yasiyoweza kuhoji, praise and worship men yanatukuza tu bila kuhoji! Eti majaliwa hawezi kudanganya? kwanini asidanganye na anajua kuwa akisema niliwatoa mimi atasifiwa?
To yeyeMlango wa nn tena we kigagule....watu tupo busy kuombea usalama kwa tuliobakia....
Wewe ulitakaje?Thanks, halafu majitu yasiyoweza kuhoji, praise and worship men yanatukuza tu bila kuhoji! Eti majaliwa hawezi kudanganya? kwanini asidanganye na anajua kuwa akisema niliwatoa mimi atasifiwa?