M mdoghosho JF-Expert Member Joined Jan 1, 2016 Posts 969 Reaction score 1,383 Jun 5, 2018 #1 Wakuu,ninahitaji Mlango wa kulia(wa dereva) wa Toyota Spacio New Modeal ya mwaka 2005. Napenda kuelekezwa sehemu ninayoweza kupata kwa hapa Dar Es Salaam na kama vipi ningependa kujua una-cost shilingi ngapi.
Wakuu,ninahitaji Mlango wa kulia(wa dereva) wa Toyota Spacio New Modeal ya mwaka 2005. Napenda kuelekezwa sehemu ninayoweza kupata kwa hapa Dar Es Salaam na kama vipi ningependa kujua una-cost shilingi ngapi.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jun 9, 2018 #2 Mkuu Nenda Shaurimoyo Yaani Kariakoo Utapata Kila Unachotaka