M Mshimba1971 Member Joined Dec 13, 2021 Posts 75 Reaction score 67 Jun 14, 2022 #1 Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 300,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k Napatikana Dar es salaam, Bunju B Piga 076772 73 88.
Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 300,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k Napatikana Dar es salaam, Bunju B Piga 076772 73 88.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jun 14, 2022 #2 Upo na kioo chake?
M Mshimba1971 Member Joined Dec 13, 2021 Posts 75 Reaction score 67 Jun 14, 2022 Thread starter #3 kawombe said: Upo na kioo chake? Click to expand... Ndio boss na kioo chake kipo hapo safi kabisa.