Mlango wa mbao vs geti la chuma

Mlango wa mbao vs geti la chuma

Hivi wanonweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni Nini
Huo wa chuma unakuta una uwazi wazi.....ukiwa nnje unaona ndani....hapo ndipo anaweka mwingine wa mbao kwa ndani.
1 ulinzi
2 urembo
 
Siku hizi kuna milango mitatu
1. Geti la chuma
2. mlango wa mbao
3. Mlango wa aluminium wenye fingerprint
 
Ushamba tu. Siku hizi vibaka ndo wamezidi, majambazi hayapo. Vibaka wanapita madirishani
 
Back
Top Bottom