Mlango wa mbao vs geti la chuma

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Hivi wanaoweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni nini?
 
Hivi wanonweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni Nini
Huo wa chuma unakuta una uwazi wazi.....ukiwa nnje unaona ndani....hapo ndipo anaweka mwingine wa mbao kwa ndani.
1 ulinzi
2 urembo
 
Siku hizi kuna milango mitatu
1. Geti la chuma
2. mlango wa mbao
3. Mlango wa aluminium wenye fingerprint
 
Ushamba tu. Siku hizi vibaka ndo wamezidi, majambazi hayapo. Vibaka wanapita madirishani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…