Mlela: Ney wa Mitego ni mdogo wangu, na sina bifu naye tena

Mlela: Ney wa Mitego ni mdogo wangu, na sina bifu naye tena

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
868
Reaction score
1,385
Mwigizaji wa bongo Movie, Yusuph mlela ameendelea kusisitiza kwamba hana bifu lolote na mwimbaji Ney wa Mitego na kwamba aliamua kumchana kipindi kile kwa sababu aliingilia kazi zao bongo muvi.

Sisi tuliandamana ili kuweka maslahi sawa na wengine lakini yeye akaanza kuongea mambo yake yasiyo na maana.- Yusuph Mlela.
 
mlela siku hiv anavimaneno flan hiv kama vya kuji overrate....
 
Back
Top Bottom