Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Yaani huko machakani ndi sqm 1 iwe laki 3.5? dalali katika ubora wakoHabari wakuu.
Boss njoo fasta hapa Luguruni karibu na ofisi ya mkuu WA wilaya nikupe hiki kiwanja.
Sqm 721 na area hii kila sqm moja inauzwa 350000 asee boss njoo fasta.
Kiwanja hiki kinataka milion 90.
Njoo ulenge hiki kiwanja boss utanishukuru badae
π±0754693556
Hujui kitu inabidi utulie mkuu.Yaani huko machakani ndi sqm 1 iwe laki 3.5? dalali katika ubora wako
Hajui maana ya jf kuwa ni GT350,000Γ721=252,350,000
Muuzaji anataka 90,000,000
Bei sahihi ni ipi ?
Dalali dizaini yako ndio kama yule aliyepokea kichapo toka kwa mjedaHabari wakuu.
Boss njoo fasta hapa Luguruni karibu na ofisi ya mkuu WA wilaya nikupe hiki kiwanja.
Sqm 721 na area hii kila sqm moja inauzwa 350000 asee boss njoo fasta.
Kiwanja hiki kinataka milion 90.
Njoo ulenge hiki kiwanja boss utanishukuru badae
π±0754693556
Mwanajeshi ndio nini wapo watu wengine kupigwa ni mwiko kwao yupo mwingine alichomwa kisu na dereva bajaji mbele ya familia yake hapo kawe kisa analeta mambo za uanajeshi kwa watoto waliopinda wanakuua..Dalali kama dalali inabidi akutane na mwanajeshi
Hiyo story ipo humu, lkn baada ya hapo huyo kijana yupo wapi?Mwanajeshi ndio nini wapo watu wengine kupigwa ni mwiko kwao yupo mwingine alichomwa kisu na dereva bajaji mbele ya familia yake hapo kawe kisa analeta mambo za uanajeshi kwa watoto waliopinda wanakuua..
Hatimae JF imevamiwa na madalali wa town.Habari wakuu.
Boss njoo fasta hapa Luguruni karibu na ofisi ya mkuu WA wilaya nikupe hiki kiwanja.
Sqm 721 na area hii kila sqm moja inauzwa 350000 asee boss njoo fasta.
Kiwanja hiki kinataka milion 90.
Njoo ulenge hiki kiwanja boss utanishukuru badae
π±0754693556
Kijana awe popote huyo mwamba si kashapotea kwa kutembea na magwanda kwa wahuni usipende kujikweza kila sehemu..Hiyo story ipo humu, lkn baada ya hapo huyo kijana yupo wapi?