Ndugu mzazi, la sivyo unaweza kumpoteza mwanao kielimu bila
wewe kujua.
Kwa sasa tumeshuhudia changamoto nyingi katika ufundishaji wa watoto:
Mtoto anafundishwa egg lakini anapaka rangi nyekundu, ilhali hakuna yai lenye rangi hiyo.
Orange anapaka nyeusi, lakini bado mwalimu anaandika “Excellent”.
Watoto wanafundishwa kwa kukariri tu: A for Apple, B for Ball bila kuelekezwa kwa uelewa mpana na wa vitendo.
👉 Sisi ELITE HOME TUITION tunafundisha kwa mfumo wa kisasa (concept-based learning):
Mtoto anajifunza kwa vikundi vya maneno (word families & groups).
Mfano:
A – Apple, Ant (pamoja na michoro sahihi, rangi sahihi na maana zake)
B – Ball, Bat, Boy n.k.
Tunahakikisha mtoto anaelewa, anaeleza na anatambua vitu kwa usahihi, si kupata A au B darasani tu.
🌍 Dunia imebadilika. Elimu ya leo siyo kukariri bali kuelewa na kujiamini.
Ndiyo maana tunamwandaa mtoto wako awe na uwezo wa kujieleza, kufikiri na kutumia
maarifa yake kwenye maisha halisi.
➕ Tunafundisha pia lugha za kigeni (angalau lugha moja):
Kichina
Kifaransa
(na nyingine kulingana na mahitaji)
0743567159 whatsup
📍 Karibu ELITE HOME TUITION
Mahali sahihi pa kujenga msingi imara wa elimu ya mtoto wako.