Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Leo baada ya kuona mzungu wa Simba baada ya kuona anaandamwa sana mtandaoni mimi naona huu ni ubaguzi wa wazi wazi[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizi Ni baadhi ya picha za mzungu wa Simba [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Mlete mdhunguuu. (×2) mlete mdhungu (×2)

Tupia picha ulizo nazo na tafsiri yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…