Mlevi kaokota kioo

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
151
Reaction score
311
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!

Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hatari sana mambo ya maji hayo
 
Mnatusingizia tu walevi hatuko hivyo, kama tunaweza kutoka na gari bar mpaka home iweje kioo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…