Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Haaaaah haaaaaah haaaaah nmecheka sanaDaaa mkuu umenikumbusha Enzi hizo niko na jamaa yangu tunapiga Forex na hela za cryptocurrencies. Kama pombe zisingekuwepo ningeshajenga mnara kama wa babeli.
Nimehisi jamaa ananiongelea mimi asee,Daaa mkuu umenikumbusha Enzi hizo niko na jamaa yangu tunapiga Forex na hela za cryptocurrencies. Kama pombe zisingekuwepo ningeshajenga mnara kama wa babeli.
Mimi nimepumzika byereee kwa miezi kadhaa sasa,lkn hela ninayowazungushia ofa washkaji ni sawasawa na ningekua nakunywa tu.Kila mnywaji anatamani Sana kuacha ila anaanzaje hapo ndo inshu.
Usiende bar.Mimi nimepumzika byereee kwa miezi kadhaa sasa,lkn hela ninayowazungushia ofa washkaji ni sawasawa na ningekua nakunywa tu.
Nimepumzika sababu ratiba yangu iko tait sa hivi na ninahitaji kuamka asubuhi kichwa kikiwa active.,ila ratiba ikiachia i'll be back.
Naenjoy kua maeneo hayo mkuu.Usiende bar.
ijumaa watatumia advance salary halafu next week kwny kucheki salary pale ATM ndipo shughuli inaanzia,ila ili kutoa stress za machungu ya advance salary watainywa tena pesa iliyobaki kwny mshahara. πππNawakumbusha kesho ijumaa mkumbuke huu uzi la sivyo jumatatu mtakuja na shuhuda hapa ππ
Mimi nimepumzika byereee kwa miezi kadhaa sasa,lkn hela ninayowazungushia ofa washkaji ni sawasawa na ningekua nakunywa tu.
Nimepumzika sababu ratiba yangu iko tait sa hivi na ninahitaji kuamka asubuhi kichwa kikiwa active.,ila ratiba ikiachia i'll be back.
Haya mkuu enjoy maisha yenyewe mafupi.Naenjoy kua maeneo hayo mkuu.
Na silalamiki kutoa pesa kwa ofa za washkaji,ila tu motivation yangu ya ku-stop kwa muda ilikua ni sababu ya majukumu zaidi na sio sababu za kifedha zaidi.
Pamoja chief.Haya mkuu enjoy maisha yenyewe mafupi.
πππ najikutaga nazungusha tu story zikinoga mkuu,maana sometimes kuna vitu vya msingi sana hua vinazungumzwa kwny ulevi.Hyo noma Sana mie siwezi zungusha Mara tatu huku jamaa zikinichek tuu mbaya zaid mie sinywi aisee hapo mie Bora nichome Nyama nusu napiga mwenyewe nusu napelekea madogo home wakaonje vitu vya bar
Uzuri pombe ya kampan nlishaacha Ile huwa inafilisi sana Kama unaimudu hongeraπππ najikutaga nazungusha tu story zikinoga mkuu,maana sometimes kuna vitu vya msingi sana hua vinazungumzwa kwny ulevi.
Bahati mbaya kukaa bar pekee yangu nilishindwa mkuu.Uzuri pombe ya kampan nlishaacha Ile huwa inafilisi sana Kama unaimudu hongera
kwani uliacha kucheza hizo kamariDaaa mkuu umenikumbusha Enzi hizo niko na jamaa yangu tunapiga Forex na hela za cryptocurrencies. Kama pombe zisingekuwepo ningeshajenga mnara kama wa babeli.
Shida yangu ilikuwa poor money management ya nilizokuwa natia mfukoni. Swala la kamari sina maelezo nalo, labda nikikuelewa.kwani uliacha kucheza hizo kamari
Tatizo langu si bia ya 3000 kumbuka ukiwa mlevi wa style yangu hatakama ukiwa unakunywa bia ya buku bado utazua, tatizo hapa ni matumizi yasiyo kwenye bajeti nikilewa nakuwa na huruma sana na kupenda sifa za kijinga. Sio kwamba kila nikienda kulewa naenda na hela zote hizo hiyo hutokea mara chache account ikiwa vizuri kuna wakati naenda kunywa na 30 tu ikiisha narudi home. Pia elewa hata ukitumia hela ndogo bila bajeti ni ufujaji tu tunatakiwa kutumia hela kulingana na kipato chetu na vipaumbele vyetu vitu vya msingi kwanza then starehe kwa hela ya ziada.HAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAAH hapo ndo utajua kwanini watu wana kunywa pombe za 1500 hadi buku mbili sio kwamba wana penda hapana ila matukiooo ya asubuhiii
Tatizo langu si bia ya 3000 kumbuka ukiwa mlevi wa style yangu hatakama ukiwa unakunywa bia ya buku bado utazua, tatizo hapa ni matumizi yasiyo kwenye bajeti nikilewa nakuwa na huruma sana na kupenda sifa za kijinga. Sio kwamba kila nikienda kulewa naenda na hela zote hizo hiyo hutokea mara chache account ikiwa vizuri kuna wakati naenda kunywa na 30 tu ikiisha narudi home. Pia elewa hata ukitumia hela ndogo bila bajeti ni ufujaji tu tunatakiwa kutumia hela kulingana na kipato chetu na vipaumbele vyetu vitu vya msingi kwanza then starehe kwa hela ya ziada.