Gobole Lenye Risasi JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 11,519 Reaction score 23,693 Mar 30, 2026 #1 Ujumbe umepokelewa toka kwa ndugu zetu katika imani. Kumbe pia kuna madaraja.... Huwa tukisema watu mnajipendekeza kwa watu hamtakiwi. Mnabisha. Bado hawajaja waarabu nao wakasema Mlevi wa Uarabuni ni Mbora kuliko Sheikh wa Zanzibar.
Ujumbe umepokelewa toka kwa ndugu zetu katika imani. Kumbe pia kuna madaraja.... Huwa tukisema watu mnajipendekeza kwa watu hamtakiwi. Mnabisha. Bado hawajaja waarabu nao wakasema Mlevi wa Uarabuni ni Mbora kuliko Sheikh wa Zanzibar.
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,617 Reaction score 16,418 Mar 30, 2026 #2 Kwamba mchawi wa vatican ni bora kuliko padri wa buseresere
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 17,613 Reaction score 56,787 Mar 30, 2026 #3 Nliona ile video clip Nurdeen Kishk akaishia kujichekesha tu.
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,933 May 14, 2026 #4 MAWEED said: Kwamba mchawi wa vatican ni bora kuliko padri wa buseresere Click to expand... Duuuh