Mliambiwa mseme kabisa Al Merreikh ni wazuri au vibonde?

Mliambiwa mseme kabisa Al Merreikh ni wazuri au vibonde?

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
Matokeo ndio kama mlivyoyaona na pira ndio kama mlivyoliona, sasa turudi kwenye mjadala wetu uleee! Yanga ameshinda 2-0 ugenini je amecheza na timu ya Al Maerreikh dhaifu au yeye Yanga ndio ana timu nzuri? Tujadiliane hapa hapa
 
munywe bia mule nyama choma mule kuku mule mule mule nitawalipia
 
Mkuu ,unawasaka ubaya
Watu wametafutana huko roho mkononi,kipa anadaka panzi halafu ww unawauliza habari za pira Gamondi
 
El Mereikh ni ya Sudan,cha kushangaza inachezea Rwanda,sasa Timu kama kuchezea Uwanja wa nyumbani kwao tu ni shida Ina tofauti gani Zalan[emoji848]
 
Yanga ni Timu nzuri hata huko makundi watasumbua sana wale wageni waliopo Yanga wangekuwa wazawa wangetusaidia sana aisee pira wanajua sijui Yao Yao mara Nzegeli...
 
Matokeo ndio kama mlivyoyaona na pira ndio kama mlivyoliona, sasa turudi kwenye mjadala wetu uleee! Yanga ameshinda 2-0 ugenini je amecheza na timu ya Al Maerreikh dhaifu au yeye Yanga ndio ana timu nzuri? Tujadiliane hapa hapa
Mlienda na BASI au COSTA ?

MBUMBUMBU wapumbavu sana.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom