Mlianza kufanya mapenzi siku ngapi baada ya kuwa wapenzi? na mpenzi wako?

Mlianza kufanya mapenzi siku ngapi baada ya kuwa wapenzi? na mpenzi wako?

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Mlianza kufanya mapenzi siku ngapi baada ya kuwa wapenzi?
Siku
Wiki
Mwezi
Mwaka
 
Tulianza kufanya mapenzi kabla ya kuwa wapenzi.

Mambo ya mapenzi hayana formula.
 
siku ya kwanza tulipokutana, nikapiga kabisa, halafu ndo tukaanza kunegotiate urafiki wetu uweje
mpaka sasa tuna mtoto1, na tumekuwa pamoja huu mwaka wa 7 sasa
hatujaoana lakini tunafahamiana mpaka home kwa kila side
 
Aaaah...sijampa bado,nafanya tutorial ya Version mpya ya Kama sutra..
 
Baada ya miezi sita tangu nimtokee, na sasa ni my wife
 
Hii thread ihamishiwe kule jukwaa mama la MMU. Hapa tunatafuta wachumba na wenzi
 
siku ya kwanza tulipokutana, nikapiga kabisa, halafu ndo tukaanza kunegotiate urafiki wetu uweje
mpaka sasa tuna mtoto1, na tumekuwa pamoja huu mwaka wa 7 sasa
hatujaoana lakini tunafahamiana mpaka home kwa kila side

Safi yaani umepiga na mkaanza ku negotiate ilikuwaje mpaka ukapiga kabla ya ku negotiate?
 
Sie ilikuwa ni mpaka ufunge ndoa!! Uchumba miaka 3 hujalamba!!! Ha ha ha!! Siku hizi jamani? Ukimtokea tu gagulo wazi?!!
 
mie nilipiga siku hiyi hiyo nikarudia mara ya pili siku tatu baadae ...na alipo anza maswali ya so wats the nature of our relation nikaata mawasiliano...nilishapata nilichotaka.
 
Hehehe angalia usivunjike kiuno au yeye akavunjika naniliu lol!

Aaaah...sijampa bado,nafanya tutorial ya Version mpya ya Kama sutra..[/QUOTE]
 
makubaliano yetu ilkuwa ni mpaka ndoa lakini uzalendo ulitushinda, kipindi hicho tulikuwa second year, afu nilkuwa na vigonela kibao. ikabidi tuvunje ahadi yetu. lakini sasa maisha yanakwenda na tunamtoto mmoja ana miaka miwili.
 
mie nilichapana kwanza afu ndo tukawa wapenzi
 
Kuogopa kuuziwa Mbuzi kwenye Gunia ilibidi ni-test mapigo kwanza kama mara 3 hivi ndio nikabeba.

Hata hivyo sinaga girlfriend permanent so swali linakua halinihusu kidogo!!
 
Back
Top Bottom