Mlikuwa mnakula nini shule ya Msingi mchana?

Profesa

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
905
Reaction score
624
Nimeipenda sana hii, na najiuliza sisi wa-Afrika tunafanya nini? Hatuwezi hili? maana hiki huyu mtoto anachokionyesha hapa ni kipimo cha chakula ambacho wengi wa familia za Tanzania hazikipati ingawa ni very simple, achilia mbali kuwa yeye ana umri mdogo kuiliko profesa mwenzangu ambaye hata email inamsumbua kusoma sembuse face book na tweeter bofya hapa uone mambo ya menu kwa shule za msingi za wenzetu: NeverSeconds
 
enzi za mwalim hakukuwa na shule inayotoa msosi mchana, tulitembea takriban km nane hadi kumi ili kufika shuleni.
 
Mchana tulikula Ugali Maharage -Mtimhoo Primary school
 


Profesa Yaani kwa hiyo unapendekeza hiki chakula ndio wanafunzi wawe wanakula shuleni?

Unatoka Tanzania ya wapi?

Huo msosi mtu anazaliwa, anakuwa na mpaka anaoa hajawahi kula chakula cha namna hiyo (hata siku ya harusi yake) ... wewe umetembea Tanzania kweli?

Kwanza usiende mbali ... humu humu JF ungeuliza watu eti hiki chakula kinai-twaje? ... alafu uone watu watakavyokuwa wanahangaika kukutajia jina


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…