Mlima Kilimanjaro Juni 2014

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari za sikukuu ya Pasaka?

Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6.

Wanakaribishwa watu wote wenye mapenzi ya kuona vivutio mbalimbali tulivyojaliwa na Mungu hapa Tz,safari hii ya kupanda mlima itahusisha watu kutoka mataifa mbalimbali kama Urusi nk

Gharama ni laki tatu na hamsini tu ikijumlisha kiingilio,chakula,sehemu ya kulala,mpagazi na watakaofika kilele cha mlima watapewa CHETI cha ushindi.

Gharama haziushishi kulala Moshi kabla na baada ya kupanda mlima,vifaa vya kupandia mlima kama viatu,sticks nk(unaweza kukodi vifaa vyote kwa elfu sabini tu.

Wahi mapema kuna nafasi chache zimebaki,mwisho wa kujiandikisha ni 15 Mei 2014.
Mawasiliano: 0787140432 au tours@infotanzania.net

Usiwe na magonjwa kama Kisukari,TB,Pumu (Uwe na afya njema)

"KUWA MZALENDO TANGAZA UPENDO"
 
Kuwa mzalendo tangaza upendo, safi hiyo ni vyema watanzania tukawa na utamaduni wa kutembelea vivutio vyetu vya utalii sisi wenyewe bila ya kusubilia wagen...
 
kwa gharama ulizoainisha hapo juu ni bora mtu asiwe mzalendo, nje ya uwanja huwa mnasema watanzania wanapewa favour ila wao hawataki kutembelea vivutio vyetu, kumbe gharama ni kubwa hivi
 
Bila gharama hakuna maendeleo. Pole sana kwa kuona hiyo ni gharama kubwa,wenzio zaidi ya 8 leo wameconfirm kulipia gharama hiyo.! Any way ndio maisha,katu hatufanani.!

kwa gharama ulizoainisha hapo juu ni bora mtu asiwe mzalendo, nje ya uwanja huwa mnasema watanzania wanapewa favour ila wao hawataki kutembelea vivutio vyetu, kumbe gharama ni kubwa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…