figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Na ni Platinum Member. Wanajifanya wakongwe sana kumbe 0Mhh
Hii nchi kila mtu ni mwehu
Huyu nae anaita Land slide mlima umepasuka
Tungoje Muda TuDuuuuu sasa huo mlima Kilimanjaro upo salama kweli ?
ππππππ π€©ππππ€ͺWafia dini kama huyu mzee wana matatizo ya akili, ni kama nati za kichwa zimelegea.
Tumegawana mlima! Kuna mahali natamani tugawane bahariMlima Namanga uliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania, wapasuka katikati na kuporomoka. Sababu yadaiwa ni mvua inayoendeea kunyesha.
Sijui lawama nimtupie nani
View attachment 3558038
Bado sana mtani! Kilimanjaro utakuwepo mpaka utimilifu wa dahariDuuuuu sasa huo mlima Kilimanjaro upo salama kweli ?
Hahahaha! Kamati ya maafa iko inaandaa bajeti muda huuHapo CCM Watasema Ipo Kwenye Ilani Yao Hiyo
Mkuu nimekupm ππππHahahaha! Kamati ya maafa iko inaandaa bajeti muda huu
ππ Kwanza anaonekana kwamba anaona ni sawaMhh
Hii nchi kila mtu ni mwehu
Huyu nae anaita Land slide mlima umepasuka
π€£π€£π€£Wafia dini kama huyu mzee wana matatizo ya akili, ni kama nati za kichwa zimelegea.
Lazima πHii kitu ikija kutokea jijini Mwanza,bendera inapepea nusu mlingoti.