Mzee yuko sahihi ila wewe umekariri elimu uchwara. Kwa mujibu wa dictionary ; Kupasuka(break)-disintegrate, fall to pieces, split. Na hayo Material pia yalikuwa yanaunda mlima.Mhh
Hii nchi kila mtu ni mwehu
Huyu nae anaita Land slide mlima umepasuka
Zipo za kununua mkuuNa ni Platinum Member. Wanajifanya wakongwe sana kumbe 0
Mhh
Hii nchi kila mtu ni mwehu
Huyu nae anaita Land slide mlima umepasuka
Tatizo lenu bhana Sasa si uweke na picha ya awali kabla ya kupasulaMlima Namanga uliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania, wapasuka katikati na kuporomoka. Sababu yadaiwa ni mvua inayoendeea kunyesha.
Sijui lawama nimtupie nani
View attachment 3558038
Hao ndio unakuta wanakwambia kupata GPA kubwa sio deal ili kuhalalisha uvivu wao wa kusoma kwa bidii.Mass wasting anasema mlima umepasukaπ¬π¬
Break sio kupasuka kijana, una ubongo humo ndani ya kichwa , tafadhali utumie , hiyo dictionary imeandikwa na mtu kama wewe ambaye anaweza kuandika makosa pia.Mzee yuko sahihi ila wewe umekariri elimu uchwara. Kwa mujibu wa dictionary ; Kupasuka(break)-disintegrate, fall to pieces, split. Na hayo Material pia yalikuwa yanaunda mlima.
Ombeni sanaTungoje Muda Tu
Nipo Arusha Lakini Yatakiwa Nikimbie Yakitokea Niwe Mbali Sana
ππππWafia dini kama huyu mzee wana matatizo ya akili, ni kama nati za kichwa zimelegea.
Mass wasting anasema mlima umepasukaπ¬π¬
Mhh
Hii nchi kila mtu ni mwehu
Huyu nae anaita Land slide mlima umepasuka
Na ni Platinum Member. Wanajifanya wakongwe sana kumbe 0
Hao ndio unakuta wanakwambia kupata GPA kubwa sio deal ili kuhalalisha uvivu wao wa kusoma kwa bidii.
Walokole na makobazi wafia dini watasema kiama kimefika Mungu amekasirika.
Wasomi tutasema Hii ni land slide imesababishwa na mvua kali ikapeleka ground become unstable and results materials slide or fall downhill.
Geomorpholy hiyo geos watanielewa.
Kwa hiyo reference ni nini kama dictionary huitaki? Elezea hiyo Land slide kwa kiswahiliBreak sio kupasuka kijana, una ubongo humo ndani ya kichwa , tafadhali utumie , hiyo dictionary imeandikwa na mtu kama wewe ambaye anaweza kuandika makosa pia.
Asante sana kwa post yako. Ubarikiwe.Na ni Platinum Member. Wanajifanya wakongwe sana kumbe 0
Mama ataenda kwa helicopter ya geshi. Kama isingekuwa juhudi za mama usingepasuka.Hahahaha! Kamati ya maafa iko inaandaa bajeti muda huu
ππππMama ataenda kwa helicopter ya geshi. Kama isingekuwa juhudi za mama usingepasuka.
Mama yetu anaweza au mnasemaje
AmiiiiiiiiiiiiiiiiinaAsante sana kwa post yako. Ubarikiwe.
Mpaka huku???Zipo za kununua mkuu
Mbona hatariMlima Namanga uliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania, wapasuka katikati na kuporomoka. Sababu yadaiwa ni mvua inayoendeea kunyesha.
Sijui lawama nimtupie nani
View attachment 3558038