Mlima nyani uko katika milima ya Usambara

Mkiweka sehemu kama hizi muweke na exactly location,au eneo..kwa wale wanaopenda kutembelea kama kivutio..ukisema tu lushoto utaulizwa lushoto ipi? Lushoto ni kubwa sana.
 
tanga kulivyo na maluweluwe ukipanda huko unaweza kutana na mambo ya ajabu ajabu yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…