Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
I still dont get it. A film gets a WORLD WIDE premiere but these lot wanasubiri 3 months to get a new film!
Another disappointment ni ZADOCK and his fantacy DAR VILLAGE ambayo we thought might bring something new hapa mjini lakini wapi!!
Cant these idi*ots go to Nairobi and see how serious investors wanavyoperate?
No wonder every tom dick and harry Dar hana jipya zaidi ya kuwa mlevi yaani watu hawana cha zaidi ya kukaa kwenye baaa kunywa wee kisha haooo wanaenda kumungunyuana

Sasa 'Mlimani City' complex nzima inakuwa useless kwa sababu mpangaji mmoja mwenye ukumbi wa senema hajanunua movie iliyopo kwenye chat? What kind of logic is this?
Mlimani City: Useless
Haa haa haaa!!
Huyo ndio GT mwingine photocopy. Sio MchezoI still dont get it. A film gets a WORLD WIDE premiere but these lot wanasubiri 3 months to get a new film!
Another disappointment ni ZADOCK and his fantacy DAR VILLAGE ambayo we thought might bring something new hapa mjini lakini wapi!!
Cant these idi*ots go to Nairobi and see how serious investors wanavyoperate?
No wonder every tom dick and harry Dar hana jipya zaidi ya kuwa mlevi yaani watu hawana cha zaidi ya kukaa kwenye baaa kunywa wee kisha haooo wanaenda kumungunyuana
The only intesting thing pale ni kile kitoto chenywe mwanya pale dirishani hakiishi kunchekeachea nikienda pale
siku moja alitoka mle duh! khatari
anyway ile MIPANYA BUKU bado ime mle kwenye ukumbu na pili lile genereta bado lazimika zimika
ZADOCK tusamehe kwa kukutukana hebu tufungulie hiyo DAR VILLAGE jamani!
I still dont get it. A film gets a WORLD WIDE premiere but these lot wanasubiri 3 months to get a new film!
Another disappointment ni ZADOCK and his fantacy DAR VILLAGE ambayo we thought might bring something new hapa mjini lakini wapi!!
Cant these idi*ots go to Nairobi and see how serious investors wanavyoperate?
No wonder every tom dick and harry Dar hana jipya zaidi ya kuwa mlevi yaani watu hawana cha zaidi ya kukaa kwenye baaa kunywa wee kisha haooo wanaenda kumungunyuana
Aisee Amani GK, have you realized how these days the movie industry is dominated by horror movies? Twilight/ New Moon, The Fourth Kind, Paranormal activity, Cirque du Freak....yaani, mi huwa nashindwa kuchagua movie ya kuangalia kama nikienda cinema impromptu bila kujua kinachoonyeshwa.
Kaka acha tu maana hata 2012 sijui niiweke kundi gani? movie za siku hizi zimekaa kihorror horror tu! lakini its better to watch those kuliko kuangalia movie kama A 40 years old virgin.
LOL. Umenichekesha, jirani zangu watadhani nimepagawa. Umeangalia "Couple's retreat"? Ya kijinga! Sikujua, nikaenda kuicheki na rafiki yangu mmoja, ila it has a few good laughs in some parts.
Kuna hii "Law abidng Citizen" ya Jamie Foxx...I might go check it out.
2012 is just totally apocalyptic...based on some Nostradamus predictions and the fact that the Mayan calendar does not go beyond the year 2012. I will not even bother watching it. Inamfaa BluRay 😀