Habari, sijui kama kuna mtu ambaye amejaribu kama nilivofanya mimi..
Nimechagua koz nane ila namba 4 na nane zikapigwa Not eligible hivyo niliamua kubadilisha lakini kila kozi ninayoweka kwenye 4 na 8 naandikiwa not eligible wakati nimequalify..
So nikaamua kufanya kamchezo haka hapa..
Nikachukua kozi niliyojaza namba 1 na imeandikwa eligible nikaipachika namba 4, na kozi namba 4 nikaipeleka 1, cha ajabu ikaandikwa eligible na ile ambayo ilikuwa poa ikaandikwa not eligible.. Bado niko njia panda...
Nawasilisha..