Mlio enda helsb jana, tupeni ripoti.....

Mlio enda helsb jana, tupeni ripoti.....

Chris41

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
625
Reaction score
406
Jaman eeh wale mlioenda jana bodi ya mkopo,, kwa ajili ya waliokosa mkopo nini kilitokea, tupeni ripoti. maana naona kimya sana
 
Hakuna ishu wamesema budget imegoma na washapeleka pesa kwenye shule husikaa labda kuappeal
 
Inamana uki appeal ndo unapewa au? Maana km fedha zmeisha ya nin kuappeal eeh Mungu 2kumbuke waja wako mh!
 
Mim nilienda jana pale,,na watu kibao walikuwepo,,,majibu yao ni kwamba kama ujaridhika,,nenda kwa mkuu wa nchi,,,wao wamemaliza kazi yao,,,,,,wanamajibu ya kunyaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,sijawai kuona,,,sijui wanajiamini nin?na nan anawapa jeuli zote hizo?mim na wewe atujui,,ndio Tanzania,,,sasa naanza kukumbuka bora enzi za mzee mkapa wafanyakazi wa idara mbalimbali za serikali pamoja na matatizo umakini ulikuwepo,,,na uduma zilikuwa zinaenda vizuri,,,for the time being,,he has led a nation from worse to worst,,,,,who? i don't know,,,,,find solution
 
kiukweli inaxikitsha sana sisi watoto wa maskin wengne ndoto ze2 zimeishia apa dah
 
Poleni sana ndugu zanguni,wao kazi yao ni kututoza kodi kila siku na mikopo wanatunyima,utazani wanatupa bure izo hela


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Daaah kazi kweli kwel,,, me naamini hamna haki kabisa katika utoaji wa mkopo, et kisa ulisoma private unatoswa,, ss je kama uwezo umeisha... Na mtu unapoomba mkopo inamaana unashida nao, halafu utarudisha. Me naona mwisho wa siku kupata mkopo ni bbahati nasibu tu, na sio kama wasemavyo wao et kuna vigezo. Mbona watu wengi tu wenye vigezo wasemavyo wamekosa....
 
jaman eeeh wadau mbona mnakata tamaa mapema 2shapanga j3 2naenda kwa waziri mkuu ndo kila kitu kitaisha we km uko dar 2kutane posta asubuh
 
jaman hivi ukiambiwa eligible for loan but budget exhausted si naweza kuappeal

unaweza nahisi kwenye kuappeal kuna baadhi ya fedha huwa zinabaki hii ni kutokana na kuwa watu wengine hawataripoti chuo na wamepata mkopo.!
 
Wanaofanikiwa ktk rufaa kwa uchache wao ni wale wanaopinga viwango au madaraja ya mikopo. Kwa wale ambao bajeti imebuma hakuna namna zaidi ya kuangalia mwaka ujao.
Mfumo haupo fea kabisa.
 
Back
Top Bottom