habari zenu jamani, habari za siku nyingi. Baada ya kupotea kwa muda mrefu kutokana na mambo flani flani sasa nimekuja tena.
Najitokeza kutafuta marafiki wa kuchil nao na kubadilishana mawazo, hasa walio kanda ya ziwa yaan mikoa ya mwanza,shy au Musoma. Nahitaji kampani tu jamani maana huku nilipo ni mgeni na sina kampani.
kwa watakaopenda,karibuni PM.