Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.

Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.

Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.

1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.
6. Mc Pilipili.
7. Jaymond.
8. Katarina wa Karatu.
9. Ebitoke.

Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.

Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.

Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.

Namba 5-9 ni updates toka kwa wadau.
 
Huyo mkaliwenu ni fundi labda hao wengine wanabahatisha angalia clip video zake insta nyingi zinachekesha kuna ile aliyocheza na joti tangazo la dstv kuna ile inaitwa katika utajirike pia kuna lile tangazo la nguvu za kiume usipocheka hizo njoo nikurudishie bando lako
 
kwa mkali wenubna isrissa uko sawa ila wengin siwajui nikiwajua nitakbgea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…