Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

Ila wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.


Hawa wanaweza kuchekesha watoto labda ila siyo mtu kama mm na akili zangu.... I hate Bongo comedians... I love nigerians and Kenyans. End of negotiations.
 
Kwa bongo hii on my side Number one comedians ni akina Bwakila while namba 2 ni wale jamaa wa Serious funny tz. Waliobaki ni wanapoteza tu muda ni bora watafute shughuli nyingine. Acha tu niendelee kuwapenda wanaigeria (Mark Angel Comedy,Xpliot comedy and Real house of comedy) na wakenya(THRK, Henry Desagu, Jaymo ule msee na wengine wengi). Bongo hatupo serious kwenye mambo mengi sana. Halafu kuna watu bila hata aibu wanasema penda vya nyumbani. Siwezi kupenda utumbo huu.
 
Idriss mtampingaaaaa ila hamtamuwezaaaa anazidi kwenda mbalii na sie tunao mueleawa huwa hatutaki kucheka sana kama wehu.
 
Mi mwenyew yule dgo yuko vzur.....kuna clip anazigongesha views mpka laki na nusu huyu dgo aisee....
 
Mi nazani Mark Angel Comedy,hawa jamaa ni noma aise..wabongo wanazingua ila Joti,serious funny,mboto,ramsoleen (mwanzo alikuwa serious funny,clip ya hainaga ushemeji ilimtoa sana)..hawa ndo wananichekesha kdg kwa hapa bongo.
 
Katika wasiojua kuchekesha Mkali Wenu anaongoza wengine wanafuatia, anatumia sana nguvu na sijui alifikaje pale alipo. Kwenye hiyo list watoe MC Pilipili, Ebitoke na BlackPasi wanaweza ingawa si sana. Comedians wangu bora ni King Majuto, Joti, Mpoki, Kitale, Tin, Ringo, Mboto, Mtanga, na wale wa Mizengwe (wote)
 
cku hz hakuna vichekesho ila nitoke nje ya box kdg hv joh makini huwa anaimba nini yan? yan cjawah kumwelewa yule jamaa cha kushangaza eti arusha wanamkubali, apo ndo naamini kule bangi inalimwa kwa wingi, alie karibu nae aje nimpe shamba akalime tu
Acha ungese, mbona unawashwawashwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…