Wale wote wanajua, mkongo yule hatariMizengwe ndo best comedy show.......sumaku,mkwere wako vizuri
Alikuwa anabebwa na kina EbitokeAlipokuwa timamu TV alikuwa afadhali hivi sasa uharo tupu
Kweli binadamu tumetofautiana, binafsi Braza K namchukulia kama mshamba Fulani wa Kigoma, hanichekeshi kiukweliBraza K nifuniko lao kwa sasa Bongo,basi tu hajui kujipromote.alikuwepo na mwingine mchombe wa kulichombe alipopotelea anajua mwenyewe.Kiufupi wachekeshaji wazuri hawajitambui ila wabahatishaji wanajua kujipromote
sasa ungekuaj na list ya wachekeshaji wako wenye vipaji. kama huna list manake huna jipyaWatanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.
Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.
Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.
1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.
6. Mc Pilipili.
7. Jaymond.
8. Katarina wa Karatu.
9. Ebitoke.
Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.
Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.
Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.
Namba 5-9 ni updates toka kwa wadau.
kwahiyo wanaochekeshwa na hawa wachekeshaji watakuwa ni WEHU?Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.
Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.
Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.
1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.
6. Mc Pilipili.
7. Jaymond.
8. Katarina wa Karatu.
9. Ebitoke.
Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.
Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.
Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.
Namba 5-9 ni updates toka kwa wadau.
Ringo ni kibokoRingo na Tin white ndo komedian Tanzania.
nadhani nyie ma ke ndo mnamuelewaga huyu jamaa na mamboga sabaIdriss mtampingaaaaa ila hamtamuwezaaaa anazidi kwenda mbalii na sie tunao mueleawa huwa hatutaki kucheka sana kama wehu.
Kama hajawahi kukuchekesha hilo ni tatizo lako binafsi, wahi kwa bashite akakucheki tezi dumeJamani mimi mzee king majuto hajawahi kunichekesha namchukulia kama muigizaji anajua nampenda naheshimu kazi yake kwenye swala la kunichekesha sijawahi kuchekeshwa ukweli ndio huo wengi mtanipinga