Mlio karibu na Iman Luvanga mwambieni nampenda

Mlio karibu na Iman Luvanga mwambieni nampenda

Tajiri wa matajiri

Senior Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
166
Reaction score
649
Ndugu zangu mficha mauti kifo humuumbua wakuu kuna mtangazaji wa crown media anaitwa Iman Luvanga wakuu nampenda na kumpenda zaidi 🥰🥰🥰🥰 mfikishieni mlio karibu nae aiseee
20241102_204030.jpg
20241102_204027.jpg
20241102_203926.jpg
 
Huyu tokea ameacha kazi abroad namuona tu kama pishi la makande..........maana kule kidoooooogo palijua kumtuliza hata na vinyama nyama vilianza kuja .........miksa rangi nini...........
 
Nimeangalia picha zake nyingi,
Ni mdada flani hiv natural.

Sio haya yenye makucha marefu,
manywele bandia,
rangi bandia
 
Back
Top Bottom