Mlio kosa mkopo msije mkatupa pesa zenu hlssf hawa jamaa ni moto

Mgumu04

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,940
Reaction score
1,055
walio kosa mkopo kutoka heslb poleni sana ila sio mwisho wa kusoma angalizo langu ni hii taasisi wanajiita hlssf huwa wanajifanya loan board ndogo ya tanzania hawa watu ni wababaishaji mwaka wa masoma uliopita walidanganya kwamba wanatoa mkopo kwa wanafunzi, watu wengi waliomba walitoa tsh 30000 baadaye wakablok website yao wakaaanza kutumia ile pesa ya loan application ilivyo isha wakafungua tena .Najua mtu aliyekosa mkopo heslb atakuwa mbishi kuamini lakini ukijaribu tu umeliwa hii taasisi uiogope kama ukoma na ofisi zao sasa wamehamisha kutoka dar mpaka bukoba iliwapige pesa vizuri kwa sababu kipindi ofisi ziko dar walikuwa wanasumbuliwa na waombaji walikuwa wanaenda kabisa kuulizia ndipo wakapata wazo la kuhamisha ofisi na kwenda dar kwa sababu mtu hawezi kutoka dar au zanzibar aende bukoba kuulizi itakuwa cost kubwa nawasilisha:frusty:
 

Kweli kabisa kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…